Tuesday, July 20, 2010

Amina Waziri Afufuka huko Yombo Vituka


Binti Amina Waziri, aliyefufuliwa huko yombo vituka na mmoja kati ya watenda kazi-Shepherd wa Nyumba ya Ufufuo na Uzima, siku ya jumanne tarehe 6 Julai 2010 majira ya saa kumi jioni.