Tuesday, July 20, 2010

Ushuhuda katika picha : Amina Waziri aliyefufuliwa huko Yombo Vituka

Picha ya kwanza: Amina Waziri, binti aliyefufuka akiwa ndani ya Nyumba ya Ufufuo na Uzima. Picha ya pili; Bi. Halima, mama mzazi wa Amina Waziri akishuhudia jinsi binti yake alivyokufa na baadaye kufufuka!