Sunday, January 2, 2011

Cheers

Soda ya pamoja baada ya Ubatizo cheerrrrrrsssssssss

Picknick ya Ubatizo wa Kibiblia

Vinjwaji baridi yaani soda za kila aina zilikuwepo kwa ajili ya kufurahia kwa pamoja katika Picknick ya Ubatizo
Vinjwaji tayari kwa ajili ya picknick..........................................................

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akitoa maelekezo kwa Mch. RP Benny Kamzee


Maelfu ya watu wakiwa katika fukwe mara baada ya Ubatizo wa Kibiblia tayari kwa ajili ya picknickUBATIZO WA KIBIBLIA


Ninakubatiza kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.........

Wachungaji wasaidizi ngazi ya MP, wakimsaidia dada aliyetokwa na pepo mara baada ya kuyagusa maji yaliyogeuzwa kuwa Damu ya Yesu. Uponyaji mkubwa unaendelea kufanyika.


Muujiza wa uponyaji katika Ubatizo. Maji ya bahari yamegeuzwa kuwa Damu ya Mwana kondoo jambo lilisababisha magonjwa, nuksi, mikosi, balaa na mapepo wachafu kuwatoka watu na kuwaacha huruUbatizo wa kibiblia unaendelea......
Foleni ya kuingia ndani ya maji kwa ajili ya kubatizwa........

Mch. RP. Ernest akibatiza.................................................


Mch. RP Bryson akibatiza.............................Taswira Katika Ubatizo wa Kibiblia

Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima akitoa maelekezo kw Ma-RP wote na wale wanobatizwa ili zoezi la Ubatizo lianze rasmi.
Mch. RP Winner akiwa tayari kuanza kubatiza .....................

Mch. RP Bryson Lema akiwa anangojea watu kwa ajili ya kuwabatiza.........


Mch. RP Maximilian Machumu akiwa tayari kuanza kubatiza........................Mch. RP. Yekonia Bihagaze akiwa anajiandaa kuanza kubatiza..................
Mch. RP. Gwandu Mwangasa akiwa tayar kuanza kubatiza katika bahari ya Hindi katika ufukwe ya Kawe, jijini Dar es Salaam


Maelfu ya watu wakijiandaa kuanza kubatizwa huku wengine wasiobatizwa wakitafuta sehemu za kujipumzisha pembezoni mwa bahari katika ufukwe.

Information Ministry inakuletea moja kwa moja matangazo ya ubatizo wa kibiblia unaofanyika hapa katika beach ya Kawe Club.Maelfu ya watu wakivuka barabara kuelekea Baharini kwa ajili ya Ubatizo wa Kibiblia. Leo maelfu ya watu wanatarajiwa kubatizwa.

Saturday, January 1, 2011

MAANDALIZI YA UBATIZO WA KIBIBLIA


Mch Tomas , Mch Innocent na vijana wa ministry ya PA SYSTEM wakiwa sehemu ya maandalizi ya ubatizo wa kibiblia, katika harakati za kufunga muziki utakao tumika kesho wakati wa ubatizo,

MAANDALIZI YAUBATIZO WA KIBIBLIA


Mchungaji John Kilima na Mch Charles Maganga wakiwa pamoja na wataalamu wa kitengo cha muziki(PA SYSTEM MINISTRY) ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ubatizo wa Kibiblia utakao fanyika kesho katika ufukwe wa kawe,ambapo maelfu wanatarajia kubatizwa kesho.information ministry itakuletea matukio yote