Sunday, January 2, 2011

Picknick ya Ubatizo wa Kibiblia

Vinjwaji baridi yaani soda za kila aina zilikuwepo kwa ajili ya kufurahia kwa pamoja katika Picknick ya Ubatizo
Vinjwaji tayari kwa ajili ya picknick..........................................................

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akitoa maelekezo kwa Mch. RP Benny Kamzee


Maelfu ya watu wakiwa katika fukwe mara baada ya Ubatizo wa Kibiblia tayari kwa ajili ya picknick