Sunday, January 2, 2011

UBATIZO WA KIBIBLIA


Ninakubatiza kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.........

Wachungaji wasaidizi ngazi ya MP, wakimsaidia dada aliyetokwa na pepo mara baada ya kuyagusa maji yaliyogeuzwa kuwa Damu ya Yesu. Uponyaji mkubwa unaendelea kufanyika.


Muujiza wa uponyaji katika Ubatizo. Maji ya bahari yamegeuzwa kuwa Damu ya Mwana kondoo jambo lilisababisha magonjwa, nuksi, mikosi, balaa na mapepo wachafu kuwatoka watu na kuwaacha huru



Ubatizo wa kibiblia unaendelea......




Foleni ya kuingia ndani ya maji kwa ajili ya kubatizwa........





Mch. RP. Ernest akibatiza.................................................






Mch. RP Bryson akibatiza.............................