Sunday, July 31, 2011

Ibada ya Leo: Ndoto na Siku Zetu

Leo 31 Agosti 2011 katika Nyumba ya Ufufuo na Uzima, tulipata fursa za kujifunza neno la Uzima lilofundishwa na Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima lenye somo lisemalo Ndoto ni Bayana kipengele cha Ndoto na Siku Zetu.

Ili kujipatia DVD ya MP3 ya Mahubiri hayo wasiliana nasi kwa barua pepe hii informationministry.gctc@gmail.com.

Karibu ufuatilie matukio ya Picha leo katika Ibada.

Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima akifungua biblia na kuanza kufundisha somo la ndoto na siku zetu.

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akifungisha ndoa kati ya Daniel kutoka Uswiss na Neema kutoka Ufufuo na Uzima Dar es Salaam Tanzania.
Washirika wakipokea baraka
Kusanyiko katika Bonde la Kukata maneno leo
Washirika wakifuatilia kwa makini ibada ya ndoa kati ya Daniel na Neema leo


Washirika wakifuatilia somo huku wakiandika notes zao kwa makini leo.