Saturday, August 20, 2011

Bwana Yesu asifiwe/utukufu? kwa watu wote wampendao Bwana Yesu na walio oshwa kwa Damu ya Mwana kondoo.
Leo tunakuletea muendelezo wa Mikutano ya Mch Josephat Gwajima inayoendelea huko Japani mwezi huu,tafadhari tembelea kupitia tovuti ya kanisa la YAMAMOTO CALVARY

http://www.yamamotocalvarychapel.com/media/live_20110817_u.php

ubarikiwe kwa kutazama ibada nzima(Baada ya kusifu na kuabudu kwa kijapani ndipo muhubiri mch Josephat Gwajima anapo alikwa na kuanza kufundisha)

Wednesday, August 10, 2011

Hii ni video ya ufufuo na uzima katika matukio mbalimbali ya kumtukuza Mungu anayotenda akimtumia mtumishi wake Mch Josephat Gwajima