Thursday, April 26, 2012

PASTOR GWAJIMA LIVE IN LONDON APRIL-MAY 2012


Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania lilopo Kawe Jijini  Dar es Salaam Pastor Josephat Gwajima, ambaye pia ni mwanzilishi na Kiongozi wa Glory of Christ Ministries International anatarajia kufanya Mikutano Mikubwa ndani ya Jiji la London nchini Uingereza kuanzia tarehe 29 Aprili 2012 mpaka tarehe 6 Mei 2012.

Mch. Gwajima, anapenda kuwakaribisha Watanzania wote waishio London na ataombea watu wote, wagonjwa ya kila aina, walioteswa na kuonewa na ibilisi kwa muda mrefu, wasioweza kupata watoto, watu waliobiwa na kupotea katika mazingira tata watarudishwa, wafu watafufuliwa (Isaya 42:22), watu wenye balaa na mikosi wataombewa pia.

Ili kufika katika Kanisa la Glory of Christ Ministries International lililopo London, tafadhali fuata anuani hii:


GLORY OF CHRIST MINISTRIES INTERNATIONAL
LANGHAM ROAD,
TOTTENHAM, LONDON
N15 3RB

Kwa maelezo zaidi, wasilina nasi hapa London kwa simu zifuatazo:- 0742 753 2044 / 0742 966 7095

Tafadhari, upatapo ujumbe huu wahabarishi, ndugu, jamaa, marafiki na wapendwa wetu wote waishio jijini London.

©2012-GCTC

1 comment:

  1. hii nzuri lazima London pawake moto! Wale ambao HAWAMO ndani ya MIILI yao watarudi kwenye miili yao, London Mungu Amewaletea NYUNDO hiyo, MSIPOTEZE bahati hiyo mwambie na MWINGINE!

    ReplyDelete