Monday, June 11, 2012

Kijana Robert afufuka saa chache baada ya kukata roho

Dada wa Robert, akieleze kisa cha mdogo wake kufa na yeye mwenyewe kumwombea mpaka akafufuka.Information Ministry ya Ufufuo na Uzima itakuletea ushuhuda kamili jumapili iyayo usikose kufuatila sehemu ya kwanza ya ushuhuda huo.
Kijana Robert, aliyefufuka mara baada ya kufa saa chache na baadaye kifo chake kuthibitishwa na daktari aliyetoa maagizo apelekwe chumba cha kuhifadhia mahiti katika hospitali ya Temeke.
Hapa Robert akiombewa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima mara baada ya kumaliza kutoa ushuhuwa wake.

No comments:

Post a Comment