Sunday, September 29, 2013

MKUTANO MKUBWA WA INJILI JIJINI ARUSHA SIKU YA TATU

We are Broadcasting live from Relini Grounds, Arusha City in Tanzania. The Ufufuo na Uzima Mega Crusade with Pastor Josephat Gwajima via This link:

Sikiliza Mkutano wa Injili kutoka Arusha; Mchungaji Josephat Gwajima anafundisha kupitia link hii:


CLICK HERE

BONYEZA HAPA

Siku ya tatu ya mkutano ilianza kwa kipindi cha sifa na kuabudu na watu walimiminika wengi viwanjani hata kabla ya mkutano kuanza. Kama ilivyoada Mchungaji Josephat Gwajima aliwasili viwanjani mapema sana, na kuanza kuhubiri saa kumi kamili.


Sifa na Kuabudu zilimdhihirisha Mungu katika mkutano mapema kabla hata ya maombezi. Ni kweli Mungu huketi katikati ya sifa
Sehemu ya Umati uliokuwepo katika mkutano uliofanyika viwanja vya Relini, jijini Arusha.


Jackson Benty akiongoza kipindi cha kusifu na kuabudu ilikuwa Baraka sana

Binti Joyce ambaye alikufa na kufufuliwa baada ya maombezi naye alikuwepo kutoa ushuhuda wake.Mchungaji Josephat Gwajima akifundisha neno la Uzima: Vyanzo vya Matatizo.No comments:

Post a Comment