Tuesday, October 22, 2013

MKUTANO MKUBWA WA INJILI NA MCHUNGAJI KIONGOZI JOSEPHAT GWAJIMA SIKU YA TATU KATIKA MJI WA MOSHI.

Matukio yaliyotokea tarehe 22.10.2013 siku ya Jumanne ambayo ni siku ya tatu ya mkutano  mkubwa wa Injili mjini Moshi katika uwanja wa mashujaa , unaoongozwa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Glory of Christ (T) Church - Ufufuo na Uzima,
Mchugaji Kiongozi Josephat Gwajima

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Mchungaji Kiongozi msaidizi Grace Gwajima wakiwa pamoja na Mr. Emmanuel and Mrs. Flora Mbasha

Maelfu ya wakazi wa Mji wa Moshi walihudhuria uwanja wa mashujaa kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa Maisha yao.

Wakazi wa mji wa Moshi wameupokea ujio wa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima na watenda kazi wake mioyo mikunjufu na ya kipekee.

Wananchi wenye kiu ya kutaka kulijua neno la Mungu kwa bidii.

Maelfu ya watu wa Mungu wakimkiri Yesu Kristo kuwa ndiye Mungu.

Uwanja wa mashujaa Mjini Moshi Kuanzia tarehe 20/10/2013 hadi tarehe 27/10/2013 pia unaweza sikiliza live kupitia USTREAM
http://www.ustream.tv/channel/jumapili-ya-ufufuo-na-uzima-23-6-2013

Moja kati ya wachungaji wasaidizi Resident Pastor, RP Max Machumu


Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, akiwapungia maelfu ya waamini na kuwatakia baraka za mwisho wa ibada.

No comments:

Post a Comment