Wednesday, October 9, 2013

SIMU ZA MKONONI ZATUMIKA KUTUNZA SAUTI YA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA MKUTANONI

Kuna mambo mengi ya kushangaza katika mkutano wa Mchungaji Josephat Gwajima unaoendelea jijini Arusha, Mojawapo ni hali ya watu kutumia simu kama nyenzo ya kutunza sauti ya mahubiri ya mchungaji huyo.

Habari Katika Picha
Hakuna aliyekubali kupitwa kwa sababu ya mamlaka kuu aliyoongea kwayo. Ukweli watu wengi wa Arusha wana imani sana, lakini imani hiyo inahitaji maarifa tu ili iweze kutenda kazi. Ufufuo na Uzima imeleta maarifa mapya ambayo hakuna mwanaarusha anayepaswa kuyakosa na kwasababu hiyo Ufufuo na Uzima imetawala Arusha.No comments:

Post a Comment