Thursday, November 28, 2013

KWA KUTUMIA JINA LA YESU MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA, AYAAMURU MASHETANI YALIYO NDANI YA WATU YAWATOKE NA YANATII.

MAAJABU MAKUBWA YATOKEA KATIKA UWANJA WA TANGAMANO JIJINI TANGA,MAELFU YA WATU WALIOKUWA NA MASHETANI NA MAJINI,NA WALIOKUWA WAMEIBIWA NYOTA ZAO WAFUNGULIWA KWA JINSI YA AJABU NA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KWA KULIITIA JINA LA YESU KRISTO..
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat akiwa anawasili katika uwanja wa Tangamano ikiwa na siku ya Tano ya mkutano mkubwa wa Kihistoria Jijini Tanga.

Mchungaji Josephat Gwajima akiwa na Askofu Swai kushoto kwake na Wachungaji wengine waandamizi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.

Mchungaji Kiongozi Mkuu Josephat Gwajima wa Makanisa ya ufufuo na uzima akiwa na Mchungaji Kiongozi, wa Tawi la Ufufuo na Uzima Morogoro Dr.Issa Zacharia Godson.


Flora na Emmaneul Mbasha wakimsifu Mungu.

Mchungaji Mwandamizi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Eng.Yekonia Bihagaze

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akikaribishwa na Mchungaji wake Mwandamizi Eng.Yekonia Bihagaze


Mchungaji Josephat Gwajima akianza kuwahubiria maelfu ya watu wa TangaWakazi wa Tanga wakifuatilia mahubiri kwa umakini sana.

Kulikuwepo na watu wa dini zote.
Mchungaji Mwandamizi mkuu Grace akiwa na Flora na Emmanuel Mbasha

Mchungaji Gwajima akiwa anawaombea watu na kuwafungua
Watenda kazi wa ufufuo na uzima wakiwasaidia walioanguka wakiwa katika hali ya kuendelea kufunguliwa.Mchungaji Josephat Gwajima akiwaaga watu wa Tanga na kuwatakia baraka za mwisho.

No comments:

Post a Comment