Monday, November 25, 2013

SIKU YA PILI YA "MEGA GOSPEL CRUSADE" JIJINI TANGA

NI SIKU YA PILI AMBAPO MCHUNGAJI KIONGOZI JOSEPHAT GWAJIMA, WA KANISA LA GLORY OF CHRIST (T) CHURCH - UFUFUO NA UZIAMA AKIWA KATIKA UWANJA WA TANGAMANO JIJINI TANGA.

Ni mchana ambao watu wengi sana walifurika katika uwanja wa Tangamano,Jijini Tanga.

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akiwasili UwanjaniKuwasili kwa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima uwanjani kulifanya uwanja ulipuke kwa Shangwe na nderemo


Mchungaji Kiongozi aliwasili pamoja na Flora na Emmanuel Mbasha

Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima (pili Kutoka Kushoto) akiwa na Mchungaji Mwandamizi Mkuu, Grace Gwajima na  Mchungaji Mwandamizi Kilima,(Kushoto wa kwanza) nakulia mwisho ni Florah na Emmanuel Mbasha .

Mchungaji kiongozi Josephat Gwajima akiwa anaanza  kuwabiria maelfu ya wakazi

Ni siku ya Pili ya Mkutano wa Kihistoria Jijini Tanga.


Maelfu kwa Maelfu ya wakazi wa Tanga walifika uwanja wa Tangamano..na hapa wakiwa wanafuatilia kwa umakini mkubwa Mchungaji Josephat Gwajima


Katika uwanja wa Tangamano walikuja wengi kutaka kummpokea Yesu Kristo.

Flora na Emmanuel Mbasha wakifuatilia mkutano kwa umakini mkubwa
Mchungaji kiongozi Josephat Gwajima akiwabariki makutano.     


Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akiwa na Florah Mbasha akiwaaga watu wa Mungu waliofika uwanja wa Tangamano siku ya Jumatatu

No comments:

Post a Comment