Ufufuo-Photos

13 comments:

 1. nimezipenda hizi photo.. jinsi mtitiriko wake hata kama hukuwepo.. unafuatilia vizuri tu.

  ReplyDelete
 2. katika picha izi Mungu wetu anatukuzwa kwelikweli.

  ReplyDelete
 3. ni furaha na shangwe tupu kuona kusanyiko kubwa namna hii kuwa kwa kristo na sio uwanja wa mpira

  ReplyDelete
 4. Mungu ni mwema na Injili ya Bwana itashinda milele. Libarikiwe jina la Bwana,

  ReplyDelete
 5. Mungu ni mwema, sisi wana ufufuo na uzima wa dar tunaungana na Bwanw Yesu kuhakikisha falme zote za dunia zinageuka kuwa falme za mwana kondoo na za Mungu wetu.

  ReplyDelete
 6. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 7. Mungu awabariki ufufuo na uzima kwa kazi nzuri mnayoifanya.

  ReplyDelete
 8. Neema hii majeshi ya Bwana tuendelee kuitumia ili majeshi ya pepo wabaya Wendelee kufyekwa na tupite kati yao kwa jina la yesu na neema iendelee kuwa bar aka

  ReplyDelete
 9. MWENYE NDOTO HAKOSI KUPATWA NA MISUKOSUKO LAKINI LAZIMA ITIMIE RAFIKI YANGU UMESHINDA -MOZAMBIQUE

  ReplyDelete
 10. APA NI MAJESHI MAJESHI TU NI KAWAIDA MTI WENYE MATUNDA KUPIGWA MAWE AO NDO WATAKAOLETA NDUGU ZAO WARUDISHWE UFUFUO NA UZIMA

  ReplyDelete