Mchugaji Kiongozi Josephat Gwajima |
Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Mchungaji Kiongozi msaidizi Grace Gwajima wakiwa pamoja na Mr. Emmanuel and Mrs. Flora Mbasha |
Maelfu ya wakazi wa Mji wa Moshi walihudhuria uwanja wa mashujaa kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa Maisha yao. |
Wakazi wa mji wa Moshi wameupokea ujio wa Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima na watenda kazi wake mioyo mikunjufu na ya kipekee. |
Wananchi wenye kiu ya kutaka kulijua neno la Mungu kwa bidii. |
Maelfu ya watu wa Mungu wakimkiri Yesu Kristo kuwa ndiye Mungu. |
Uwanja wa mashujaa Mjini Moshi Kuanzia tarehe 20/10/2013 hadi tarehe 27/10/2013 pia unaweza sikiliza live kupitia USTREAM |
Moja kati ya wachungaji wasaidizi Resident Pastor, RP Max Machumu |
Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, akiwapungia maelfu ya waamini na kuwatakia baraka za mwisho wa ibada. |
0 Comments