google.com, pub-4324601895065941, DIRECT, f08c47fec0942fa0
Glory of Christ Tanzania Church (GCTC)
(Life and Resurrection Ministries International)
P.o Box 76092
Ubungo, Kibo- Chai Bora
Dar es Salaam, Tanzania, East Africa
Phone: +255 (0) 0654 808 036 , +255 (0) 763 432 025
E-Mail: info@ufufuonauzima.org
13 Comments
nimezipenda hizi photo.. jinsi mtitiriko wake hata kama hukuwepo.. unafuatilia vizuri tu.
ReplyDeletekatika picha izi Mungu wetu anatukuzwa kwelikweli.
ReplyDeleteni furaha na shangwe tupu kuona kusanyiko kubwa namna hii kuwa kwa kristo na sio uwanja wa mpira
ReplyDeleteNampenda Mungu wa Ufufuo na Uzima
ReplyDeleteMungu ni mwema na Injili ya Bwana itashinda milele. Libarikiwe jina la Bwana,
ReplyDeleteMungu ni mwema, sisi wana ufufuo na uzima wa dar tunaungana na Bwanw Yesu kuhakikisha falme zote za dunia zinageuka kuwa falme za mwana kondoo na za Mungu wetu.
ReplyDeletevgd i like it
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletemungu ni mwema
ReplyDeleteMungu awabariki ufufuo na uzima kwa kazi nzuri mnayoifanya.
ReplyDeleteNeema hii majeshi ya Bwana tuendelee kuitumia ili majeshi ya pepo wabaya Wendelee kufyekwa na tupite kati yao kwa jina la yesu na neema iendelee kuwa bar aka
ReplyDeleteMWENYE NDOTO HAKOSI KUPATWA NA MISUKOSUKO LAKINI LAZIMA ITIMIE RAFIKI YANGU UMESHINDA -MOZAMBIQUE
ReplyDeleteAPA NI MAJESHI MAJESHI TU NI KAWAIDA MTI WENYE MATUNDA KUPIGWA MAWE AO NDO WATAKAOLETA NDUGU ZAO WARUDISHWE UFUFUO NA UZIMA
ReplyDelete