![]() |
Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima akiwasili katika uwanja wa Tangamano. |
![]() |
Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima, akipanda madhabahuni katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga. |
![]() |
Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, akiwa amesindikizana na Mchungaji Mwandamizi, RP Bryson Lema wakifika madhabahuni. |
![]() |
Mchungaji Kiongozi Jospehat Gwajima akifurahia jambo kwa Tabasamu zito. |
![]() |
Mchungaji Mwangasa akisalimiana na Mwimbaji wa Kimataifa wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania Flora Mbasha |
![]() |
Flora na Emmanuel Mbasha wakiwa katika mkutano wa Injili katika uwanja wa Tangamano na Mchugaji Kiongozi Josephat Gwajima. |
![]() |
Emmanuel na Flora mbasha wakimsifu Mungu pamoja na maelfu ya watu wa Jijini Tanga waliofika uwanja wa Tangamano. |
![]() |
Mchungaji Kiongozi Mkuu Josephat Gwajima akiwa amekaribishwa na Mchungaji Mwangasa. |
![]() |
Mchungaj Josephat Gwajima akiwahubiria maelfu ya wakazi wa Tanga. |
![]() |
Maelfu ya wakazi kutoka kila pande ya Jiji la Tanga wakiwa wanamfuatilia Mchungaji Josephat Gwajima. |
![]() |
Mchungaji Josephat Gwajima akiwaombea maelfu ya wakazi wa Tanga. |
![]() |
Mchungaji Mwangasa |
![]() |
Watu wenye matatizo na kuteswa na shetani kwa kuwekwa kwenye vifungo, walianza kufunguliwa kwa njia za Ajabu, Roho wa Mungu alitenda kazi kupita kawaida. |
WACHAWI WADONDOKA KUTOKA ANGANI
![]() |
Mchungaji msaidizi akimsadia Bibi mchawi aliyedondoka baada ya maombi na Roho wa Mungu kufanya kazi kupitia kwa Mchugaji Josephat Gwajima |
![]() |
Mchungaji Josephat Gwajima akimhakikisha Bibi mchawi aliyedondoka.. |
![]() |
Bibi akiwa amesalimu amri baada ya Nguvu za MUNGU kumfurumusha kutoka angani...alikokuwa anaendelea na biashara yake ya uchawi. |
![]() |
Maelfu kwa maelfu wakiwa wanaendelea kuombewa na kufunguliwa... |
![]() |
Mchungaji Mwandamizi Mkuu, Grace Gwajima (kushoto) akimhoji Bibi Mchawi |
![]() |
Mchungaji Josephat Gwajima, akimuangalia mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu akijitetea,katika madhabahu.. |
![]() |
Pichani hapo juu ni mchawi wa pili akiwa anapandishwa madhabahuni. |
![]() |
Bibi Mchawi aliyedondoka mara ya kwanza akiwa ameombewa hapa analetwa ili atambulishwe mbele za watu ili aachiwe... |
![]() |
Akiwa anataka kutambulishwa |
![]() |
Watu wa Tanga wakafurahi pamoja na Mchungaji wakiyaelewa na kusadiki walioyaoswa. |
![]() |
Hatimaye mchawi yule akaambiwa akae kwanza madhabahuni. |
![]() |
Na huyu ni mchawi wa pili aliyedondoshwa na Nguvu za Mungu, akiwa anahojiwa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima. |
![]() |
Wachawi wote wawili wakionekana pichani, na huyu mwenye kanga na dera la njano ni mchawi wa pili aliyekutwa na hirizi nyingi kila kona ya mwili. |
![]() |
Wachawi waliwashangaza wengi... |
![]() |
Mchungaji Josphat Gwajima akiwaangalia wachawi hao waliodondoka. |
![]() |
Watu wa Tanga wakaapa kutokumdhuru mchawi yeyote, jambo ambalo Mchungaji alilifurahia. |
![]() |
Akawaombea na kuwabariki kisha wakaletwa mbele yao,wabibi hao wawili waliodondoka.. |
![]() |
Wachawi wote walikiri makosa na wakahidi kuwa hawatarudia tena uchawi na waliomba msamaha kwa yote waliyoyatenda. |
1 Comments
Jesus in control
ReplyDelete