![]() |
| Mchungaji Mwandamizi Mkuu Grace Gwajima, akiwa na Flora na Emmanuel Mbasha. |
![]() |
| Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kutoka Morogoro Dr. Issa Zacharia Godson akimkaribisha Mchungaji Kiongozi Mkuu Josephat M. Gwajima. |
![]() |
| Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima,akiwa anawahubiria maelfu ya wakazi wa Tanga. |
![]() |
| Mchungaji Gwajima akiwa anamtambulisha Oumary kwa maelfu ya wakazi wa Tanga, ambapo hapa Tanga ni mahala alipozaliwa na kulelewa. |
![]() |
| Mchungaji Josephat Gwajima akiwaombea na kuwafungua kwa Jina la Yesu maelfu ya watu wa Tanga waliofika uwanjani. |
![]() |
| Maombezi yanaendelea |

























0 Comments