google.com, pub-4324601895065941, DIRECT, f08c47fec0942fa0

Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JARIBIO LA HATIMA (DESTINY ON TRIAL)


BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA

SOMO: JARIBIO LA HATIMA (DESTINY ON TRIAL)

JUMAPILI,06.12.2020


Mungu anajua wewe utakuwa nani baadae,na mbinguni wanakuita kwa jina la Umiliki wako.Lakini wakati huo huna chochote ambacho kinaashiria wewe kufanikiwa tayari anakuita jina la hatima yako. Hauishi duniani ili kuwa sawa na elimu uliosoma bali wito wako aliokuwekea.Hata kama hakuna tumaini au hata chembe ya dalili ya kung’aa kwako hatima yako ipo palepale.

Mfano, Yusuph kuzaliwa kwake hakuna mwenye kutegemea kuwa Waziri Mkuu kwa maana kwanza hakuwa mzaliwa wa kwanza, mtoto wa mke wa pili (nyumba ndogo) pia alizungukwa na chuki za ndugu ila Mungu alimuona ni Waziri Mkuu Wa Misri.Ndivyo ulivyo wewe, wanavyo kutazama watu sivyo Mungu akujuavyo na la muhimu zaidi ni asemalo Mungu au akujuavyo Mungu ndivyo utakavyo kuwa hakuna mjadala.

ü A TRIAL OVER YOUR DESTINY IS NOT A   COMPROMISAL OF YOUR DESTINY,ITS SIMPLY SHARPENS YOUR DESTINY.

ü YOU ARE NOT LIVING ON EARTH TO ACCOMPLISH WHAT YOU GOT AT SCHOOL BUT GOD’S GIVEN PURPOSE.  

Sometimes God allow some responsibilites to strengthen your muscles for handling your great future. God doesn’t allow problems to your life to destroy you but he is just sharpening your war skills for your tomorrow according to his plan.

Watu wengi wanaolaaniwa ni wale ambao hukaa karibu na wabarikiwa na baadae hutengeneza mazoea. Mfano, Lucifer,Miriam(dada wa Musa),Kora na Dothan,Yuda Iskariote,Absalom n.k. Kwa maana watazamavyo watu ni tofauti na Bwana atazamavyo na ni sheria ukimgusa mtumishi wa Bwana umegusa mboni ya Bwana.

ü A setback is a set for coming back..

·       1 Samwel 16:1-7

-Unaweza kuwa na hatima kubwa lakini kwenye familia unadharaulika. Watoto wengi ambao kwenye familia hudharauliwa ndio wabeba hatima kubwa kama Daudi. Kwenye familia ya Mzee Yese Daudi hakuwa kati ya watoto wanaotegemewa na ndo maana hata alipokuja Nabii Samweli Daudi hakuitwa aliachwa machungani.

-Mstari wa 7 ‘Lakini Bwana akamwambia Samwel, usitazame uso wake,wala urefu wa kimo chake, kwa maana mimi nimemkataa,kwa maana mimi hutazama MOYO’. Hapa ni dhahiri Mungu hutazama mioyo na sio sura katika utoaji wa baraka zake.

-Mstari wa 11 ‘..amesalia mdogo wao,natazama anawachunga kondoo, basi Samweli akamwambia Yese, tuma watu wakamwite kwa maana hatuta keti hadi atakapowasili’ Hapo tunajifunza kuwa Mungu anaweza kusimamisha jambo mpaka utakapofika ili ulitimize sawasawa na hatima aliyokupangia.

ü Sometimes some criteria are used to define you, but how God defines you is more crucial.

ü Most of people with great destiny face great problems in life.

ü If you choose to trust in God, trust to the end. For God has a greater plan for you.

ü You can not take people where you have never been. If you are note successful you cannot guide someone towards it.  

ü If you go against the law of gravity your broken legs will prove it. 

·       Mwanzo 32:22 Vita ya Yakobo na Malaika

-Demand blessing like when it hurts like Jacob.

-Malaika alimuuliza ‘jina lako ni n’nani?’ maana yake tayari malaika alijua aina hii ya watu mbinguni huitwa Israeli. Kumbuka wakati Esau anamuuliza baba yake kama anabaraka nyingine ‘..kwa maana huyu ndugu yangu jina lake Yakobo yaani mwizi wa baraka zangu’ Kwahiyo mbinguni wanamjua kama ‘Israeli’ na wengine ‘ Yakobo-Mwizi wa Baraka za Watu’.



BONYEZA HAPA👇👇 KUANGALIA

IBAADA NZIMA YA LEO JUMAPILI

 

https://www.youtube.com/watch?v=3T7l3QbS9I4


BONYEZA HAPA👇👇 KUSIKILIZA IBAADA

ZOTE NDANI YA UFUFUO NA UZIMA

UBUNGO

UFUFUONAUZIMA RADIO is on Mixlr https://mixlr.com/ufufuonauzima-radio

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Post a Comment

1 Comments

  1. Barikiwa sana baba Askofu, ujumbe wako umenibariki Sana nimeona huduma yangu hapa Bungoma, Magharibi mwa Kenya ikifanikiwa. Napiga majeshi majeshi, sijaweza kifedha ningekuja mpaka ubungo Dar. Kufunzwa zaidi.

    ReplyDelete