
Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima akitoa maelekezo kw Ma-RP wote na wale wanobatizwa ili zoezi la Ubatizo lianze rasmi.

Mch. RP Winner akiwa tayari kuanza kubatiza .....................

Mch. RP Bryson Lema akiwa anangojea watu kwa ajili ya kuwabatiza.........

Mch. RP Maximilian Machumu akiwa tayari kuanza kubatiza........................

Mch. RP. Yekonia Bihagaze akiwa anajiandaa kuanza kubatiza..................

Mch. RP. Gwandu Mwangasa akiwa tayar kuanza kubatiza katika bahari ya Hindi katika ufukwe ya Kawe, jijini Dar es Salaam

Maelfu ya watu wakijiandaa kuanza kubatizwa huku wengine wasiobatizwa wakitafuta sehemu za kujipumzisha pembezoni mwa bahari katika ufukwe.

Information Ministry inakuletea moja kwa moja matangazo ya ubatizo wa kibiblia unaofanyika hapa katika beach ya Kawe Club.

Maelfu ya watu wakivuka barabara kuelekea Baharini kwa ajili ya Ubatizo wa Kibiblia. Leo maelfu ya watu wanatarajiwa kubatizwa.