Thursday, October 24, 2013

SIKU YA TANO YA MKUTANO WA KIHISTORIA MJINI MOSHI NA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMAMATUKIO NA MATENDO MAKUU AMBAYO MUNGU AMEYATENDA KUPITIA KWA MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA KATIKA UWANJA WA MASHUJAA MJINI MOSHI TAREHE 24.10.2013 
Mchungaji Kiongozi, Josephat Gwajima,(wa pili kutoka kulia) akiwa katika jukwaa kuu akifuatana na Mchungaji Mwandamizi mkuu Grace Gwajima (wa kwanza kulia) na watatu kutoka kulia ni Nabii BG Malisa aliyefika nayeye kujionea matendo mkuu ambayo Mungu anayatenda

Mwimbaji wa kimataifa wa nyimbo za Injili Florah Mbasha, akiwa na Emmanuel mbasha, wakiimba wimbo wao mmpya kabisa uitwao "Saa ya Ufufuo na Uzima"
Maelfu ya wakazi wa mjini Moshi wakifuatilia Ibada ya Mch.Kiongozi Josephat Gwajima, hapa ulikuwa muda wa kujiombea na kujitenga dhidi ya hatari zote zinazotokana na ndoto za Mikosi.
Mch. Kiongozi Josephat Gwajima akiwahubiria maelfu wa wakazi wa Mjini  Moshi.
 Muda wa kumpokea Yesu na kumkiri kuwa Bwana na muokozi wa maisha yak
Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima akitoa uponyaji na kuwaponya maelfu ya wakazi waliofika katika uwanja wa mashujaa mjini moshi.Muda maalum wa kummpokea Yesu na Kujitoa katika vifungo vya shetani
Mchungaji kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima alimkaribisha Nabii BG Malisa kuwasalimu maelfu ya wakazi wa mji wa Moshi

No comments:

Post a Comment