Mwanza
Welcome to the Resurrection and the Life Mwanza branch of the church which is part of the Glory of Mega Church Tanzania  (Church of Thousands of People) under the Leader  Pastor Samson Gwajima. The Church exists to sites Kirumba-Police (mwisho wa lami). We welcome them all the first inhabitants came to worship the Lord with us in our worship. Place here the dead are raised up and sent misukule
 


Karibu Ufufuo na Uzima tawi la Mwanza kanisa ambalo ni sehemu ya Mega Church  la Glory of Chirst Tanzania Church (Kanisa la Maelfu ya Watu) chini ya Mchungaji Kiongozi Samson Gwajima. Kanisa lipo maeneo ya Kirumba-Polisi (Mwisho wa lami).Tunawakaribisha wakazi wote wa Mwanza kuja kumuabudu Yehova pamoja nasi katika ibada zetu. Mahali hapa wafu wanafufuliwa na misukule wanarudishwa


Jumatatu- IBADA YAMAOMBEZI  Saa 10:30 jioni mpaka Saa 12:30 jioni

Jumanne-IBADA YA VIJANA Saa 10:30 jioni mpaka Saa 12:30 jioni

Jumatano- IBADA YA KUOMBEA ISRAEL NA TANZANIA Saa 10:30 jioni mpaka Saa 12:30

Alhamisi- IBADA YA FAMILIA (FAMILY DAY) Saa 10:30 jioni mpaka Saa 12:30
Ijumaa- IBADA YA KUJIFUNZA BIBLIA Saa 10:30 jioni mpaka Saa 12:30


  


 MCHUNGAJI KIONGOZI: SAMSON GWAJIMA AKIOMBEA WATU KWENYE IBADA YA JUMAPILI.MAMIA YA WATU WAKIAMaelfu ya watu wakiendelea kupata uponyaji katika Ibada ya jumapili iliyo jaa nguvu za Mungu.
(Yesu Christo)M


Mchungaji Kiongozi Samson Gwajima akiweka mkono tayari kwa kuachilia uponyaji kwa Dada aliye kuwa akisumbuliwa na mapepo kwa mda mrefu sana pamoja na wachungaji wasaidizi wakisadia kumshika katika ibada iliyo jaa nguvu za Mungu(Yesu Christo)Dada Hosiana, akishangilia kwa furaha sana baada ya kupata muujiza wake kutoka kwa Yesu Kristo. Hapo awali alikuwa akisumbuliwa na tatizo lililosababishwa na kuoza kwa Figo.Dada Hosiana, akielezea kwa furaha sana baada ya kupata muujiza wake kutoka kwa Yesu Christo baada ya kupona figo zilizo kuwa zimeoza kwa muda mrefu sana.na baadaye akakutana na muujiza wake baada ya  maombezi yalifanywa na Mchungaji Kiongozi Samason GwajimaMama huyu kutoka Mkolani jijini Mwanza akishagilia kwa furaha sana baada ya kupona ugonjwa ulio msumbua kwa muda mrefu sana (kupoza mkono na miguu) baada ya maombzi kutoka kwa Mchungaji kiongozi Samson Gwajima  katika  Jina la Yesu Kristo. akiendelea kushangilia kwa furaha kubwa  sana kwa muujiza wake.
Mama huyu akishuhudia njisi gani mume wake aliye kuwa amatoroka nyumbani

akajaribu kutafuta msaada kutoka kwa wagaga wakienyeji ikashindikana mpaka alipokutana na  Bwana Yesu Kristo Katika nyumba ya Ufufuo na Uzima - Mwanza. Ndipo alipokutana na muujiza wake; kwani  mume wake alirudi nyumbani tena; mara tu baada ya maombezi kutoka kwa Mchungaji Kiongozi Samson Gwajima. Katika Jina la Yesu kristo Showers of Glory of christ Tanzania church -Mwanza wakimsifu Mungu kwa njia ya kucheza


Showers of Glory of christ Tanzania church -Mwanza wakiwa na Mwalimu wao Mp Tamari na Shepherd Monika na Elizabeth
DVD-DAMU KWA UJUMLA(BLOOD OVERALL)


MUNGU ANATAKA UWE MMILIKI NA MTAWALA HAPA DUNIANI KWANJIA YA MAOMBI


DVD-KUSIMAMA KATIKA ZAMU KAMA WAFALME NA MAKUHANI KWA AJIRI YA TAIFA 
DVD-KUENENDA KWA ROHO (WALK IN THE SPIRIT)

PLEASE CONTACT US IF YOU ARE INTERESTED
MEDIA MINISRTY 
+255 716 247575